07-21 Njoo tuwafunze kuapply maji safi na maji taka
PSAs

07-21 Njoo tuwafunze kuapply maji safi na maji taka

Jul 21, 2025
FREE

Fom ya kesho ni ? Come Gathondeki area kutoka 10.30 asubuhi hadi jioni .

Njoo tuwafunze kuapply maji safi na maji taka.

Kwa maelezo zaidi wasiliana na Dagoretti Region kupitia nambari ya simu 0748265795.

Usiwache neighbour home !


Nairobi Kenya


Tags